Wilaya ya Mpwapwa ni wilaya moja ya Mkoa wa Dodoma Tanznia yenye postikodi namba 41600[1] . Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Mpwapwa ilihesabiwa kuwa 305,056.[2]
Mpwapwa iko na idadi ngapi ya watu?
Ground Truth Answers: 305,056305,056305,056
Prediction: